Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jarida la Habari

26 Novemba 2020

Jaridani hii leo na Anold Kayanda tunaanzia Rwanda kumulika mafanikio ya kukabili COVID-19 kisha Kigoma Tanzania mkulima mwezeshaji Veneranda Hamisi na mafanikio ya mradi wa KJP. Tunaenda pia India kuangazia mafanikio ya harakati za kutokomeza fikra potofu za kuchukia watoto wa kike na baada ya hapo makala na mashinani. Karibu!

Sauti
12'50"

18 Novemba 2020

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF leo limekaribisha tangazo la serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, linalothibitisha kumalizika kwa mlipuko wa karibuni wa Ebola katika jimbo la Equateur. 


Je, usugu wa dawa za viuavijiumbemaradhi au antimicrobial ni janga lijalo?

Sauti
10'57"