Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Habari kwa Ujumla

Mackenzie Knowles-Coursin / UNDP

UNFPA yaunga mkono serikali ya Ukraine kuzuia ukatili unaokabili wasichana na wanawake takriban milioni 11

Shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu duniani UNFPA ambalo pia limejikita katika masuala ya kijinsia na afya ya uzazi limesema janga la corona au COVID-19 limekuwa ni kuongeza msumari wa moto juu ya kidonda kwa  wanawake na wasichana milioni 11 wanaopitia ukatili wa kijinsia GBV nchini Ukraine na sasa linashirikiana na programu za serikali kuzuia na kukabiliana na ukatili huo

Sauti
2'47"