Antonio Guterres asema ni lazima kushughulikia changamoto 4 za karne ya 21 kwa suluhu 4 za karne ya 21
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema kuna changamoto na dharura kubwa nne zinazotishia maendeleo yaliyopigwa katika karne ya 21 ambazo zinapaswa kushughulikiwa haraka.