Malengo ya afya Afrika kupigwa jeki na ubia mpya baina ya WHO na AU
Shirika la afya ulimwenguni, WHO na muungano wa Afrika, AU wametia saini mkataba wa makubaliano ya dhamira yao ya kuimarisha uhusiano na ushirikiano katika kutimiza malengo muhimu ya afya.