Methali: Usigombane na mkwezi, nazi imeliwa na mwezi
Pakua
Na leo katika kujifunza Kiswahili, mchambuzi wetu ni Dkt Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar, BAKIZA, anatufafanulia maana ya methali "Usigombane na mkwezi, nazi imeliwa na mwezi", karibu!
Audio Credit
Assumpta Massoi/Dkt Mwanahija Ali Juma
Sauti
2'