Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

METHALI: Hata ugali kiporo huchoma

METHALI: Hata ugali kiporo huchoma

Pakua

Na leo katika kujifunza Kiswahili, mchambuzi wetu Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani anatufafanulia methali "HATA UGALI KIPORO HUCHOMA."

Audio Credit
Assumpta Massoi/Josephat Gitonga
Audio Duration
1'5"
Photo Credit
UN