Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la Wiki: Methali- Kila mtoto na koja lake

Neno la Wiki: Methali- Kila mtoto na koja lake

Pakua

Leo katika kujifunza Kiswahili tunaingia Zanzibar nchini Tanzania kwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili visiwani humo, BAKIZA Dkt. Mwanahija Ali Juma akifafanua maana ya methali Kila Mtoto na Koja Lake! 

Audio Credit
Assumpta Massoi/ Mwanahija Alli
Audio Duration
1'10"
Photo Credit
UN