Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la Wiki- Methali: Chozi la umpendaye hutoka kwenye chongo au kengeza

Neno la Wiki- Methali: Chozi la umpendaye hutoka kwenye chongo au kengeza

Pakua

Hii leo katika kujifunza kiswahili kupitia neno la wiki tunakwenda Tanzania ambapo Onni Sigalla Mhariri Mwandamizi wa Baraza la Kiswahili Tanzania, BAKITA anafafanua maana ya methali, Chozi la umpendaye hutoka kwenye chongo au kengeza.

Audio Credit
FLORA NDUCHA
Audio Duration
1'13"
Photo Credit
UN