Neno la Wiki- majina ya wanadamu wanaposafirisha mizigo
Pakua
Hii leo katika NENO LA WIKI, Mwenyekiti wa idara za Kiswahili katika vyuo vikuu Afrika Mashariki Aida Mutenyo anatufafanulia majina mbalimbali ya wanadamu wanaposafirisha mizigo kwa kutembea.
Audio Credit
Aida Mutenyo
Audio Duration
1'12"