Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la Wiki - "Bakora" na "Mjeledi"

Neno la Wiki - "Bakora" na "Mjeledi"

Pakua

Katika neno la wiki hii leo tunaangazia maneno “Bakora” na “mjeledi” Mchambuzi wetu  ni Nuhu Zuberi Bakari, ambaye ni Naibu Mwenyekiti wa masuala ya mawasiliano kwenye Chama cha  Kiswahili cha Taifa nchini Kenya, CHAKITA.

Photo Credit