TANZBATT 6 wakabidhiwa jukumu la ulinzi wa amani wa UN nchini CAR
Kikosi cha 5 cha walinda amani wa Umoja wa Mataifa kutoka Tanzania, TANZBATT 5 kilichokuwa kinahudumu katika Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, MINUSCA, kimekamilisha muda wake na kukipisha kikosi kingine cha 6 nacho kutoka Tanzania, TANZBATT 6 ambacho kitaendeleza jukumu hilo. Kutoka Berberat, Captain Mwijage Inyoma ni Afisa Habari wa TANZBATT 06 ametuandalia taarifa hii.