Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jamii inaelewa nini kuhusu ukatili wa kijinsia

Jamii inaelewa nini kuhusu ukatili wa kijinsia

Pakua

Kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya wanawake, UN Women ukatili dhidi ya wanawake na wasichan unasalia kuwa kitendo cha ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu duniani kote, ukiathiri zaidi ya wanawake milioni 1.3, takwimu ambayo hata hivyo haijabadilika kwa zaidi ya muongo mmoja

Lakini jamii inaelewa nini kuhusu ukatili wa kijinsia?  Tuelekee nchini Tanzania Kusini Magharibi katika mkoa wa mbeya kusikia wananchi wa wilaya ya Rungwe wanaelewa nini kuhusu Ukatili wa kijinsia wakati huu ambapo dunia ikiwa katika siku 16 za kupinga ukatili huo miongoni mwa jamii.

Mosses Aswile wa radio washirika Rungwe FM ya mkoani Mbeya amezungumza na wananchi. Tumsikilize.

Audio Credit
Leah Mushi/Mosses Aswile
Audio Duration
3'46"
Photo Credit
UNICEF/van Oorsouw