Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Waandishi wa Habari Tanzania wajengewa uwezo kuhusu umiliki wa ardhi kwa wanawake

Waandishi wa Habari Tanzania wajengewa uwezo kuhusu umiliki wa ardhi kwa wanawake

Pakua

Mashirika mbalimbali ya kiraia nchini Tanzania yamezidi kuhamasika kuelimisha Jamii juu ya Haki ya Ardhi kwa wananchi, wanawake nikundi ambalo bado wameendelea kushindwa kumiliki ardhi hivyo inahitajika sauti ya pamoja katika utetezi wa Haki ya kumiliki Ardhi hususan katika mazingira magumu ya umasikini, mila na desturi kandamizi katika baadhi ya jamii.

Hamad Rashid wa Redio washirika MVIWATA FM ya Morogoro mashariki mwa Tanzania ni miongoni mwa waandishi wa habari waliopatiwa mafunzo na shirika la Landesa Tanzania ili waweze kuelimisha jamii umuhimu na haki ya wanawake kumiliki ardhi na umuhimu wa kulinda Haki ya Ardhi kwa wananchi kwenye maeneo ya uwekezaji wa Ardhi. Tuungane naye katika Makala hii aliyotuandalia.

Audio Credit
Leah Mushi/Hamad Rashid
Audio Duration
4'
Photo Credit
CIFOR/Axel Fassio