Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ni lazima kwanza viongozi wayafahamu matatizo ya elimu ni ni yapi ndipo tuyatatue- Cherinet Harifo

Ni lazima kwanza viongozi wayafahamu matatizo ya elimu ni ni yapi ndipo tuyatatue- Cherinet Harifo

Pakua

Leo mkutano wa ngazi za juu wa Umoja wa Mataifa kuhusu marekebisho ya mfumo wa elimu umekunja jamvi. Mmoja wa waliohudhuria ni kijana Cherinet Harifo kutoka Tigray Ethiopia ambaye katika mkutano huu ameziwakilisha nchi mbili, Ethiopia na Eritrea. Yeye msimamo wake ni kwamba, ili kutatua matatizo ya elimu, ni muhimu kwanza viongozi wafahamu matatizo yenyewe ni yapi kwa kila nchi na eneo kwani kila sehemu ina matatizo yake mahususi. Nahicho ndicho kimemleta katika mkutano huu. Kupitia makala hii, kijana huyo anaeleza changamoto zizoikabili nchi yake na nchi jirani ya Eritrea. Flora Nducha amezungumza na kijana huyu kwa kina.

Audio Credit
Flora Nducha/Cherinet Harifo
Sauti
3'47"
Photo Credit
UN/Anold Kayanda