Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wafanyabiashara wa Afrika Mashiriki washiriki maonesho jijini Mwanza

Wafanyabiashara wa Afrika Mashiriki washiriki maonesho jijini Mwanza

Pakua

Nchini Tanzania jijini Mwanza kunafanyika maonesho ya wafanyabiashara kutoka nchi za Afrika Mashariki lengo ni kuonesha ubunifu katika sekta za kilimo, Afya,Sayansi, uchumi na utamaduni.

Evarist Mapesa wa redio washirika SAUT FM iliyoko jijini Mwanza ametembelea maonesho hayo na kutuandalia makala hii. 

Audio Credit
Flora Nducha /Evarist Mapesa
Audio Duration
3'21"
Photo Credit
Evarist Mapesa/ UN NEWS