Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

METHALI -"HERI KENDA MKONONI KULIKO KUMI NENDA RUDI"

METHALI -"HERI KENDA MKONONI KULIKO KUMI NENDA RUDI"

Pakua

Nam kama ada ya kila ijumaa sasa  ni  kujifunza Kiswahili katika Neno la wiki ambapo leo tutajifunza maana ya methali "HERI KENDA MKONONI KULIKO KUMI NENDA RUDI" na mchambuzi wetu ni Josephat Gitonga, mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi katika kituo cha tafsiri na ukalimani nchini Kenya

Audio Credit
Josephat Gitonga
Audio Duration
48"
Photo Credit
UN