Neno la Wiki: Mtaka unda haneni
Pakua
Katika Neno la wiki hii Mchambuzi wetu ni mwanariwaya na mwanachama wa Chama Cha Kiswahili cha Kitaifa nchini Kenya, CHAKITA Ken Walibora ameangazia methali isemayo "mtaka unda haneni".
Audio Duration
45"