Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ukitaka kuwa mwandishi ni lazima usome kazi za waandishi wengine- Walibora

Ukitaka kuwa mwandishi ni lazima usome kazi za waandishi wengine- Walibora

Pakua

Sanaa ni chombo ambacho kinatumika sio tu kuburudisha lakini pia kupitisha ujumbe na wakati mwingine pia mafundisho. Mashairi ni moja ya kazi za sanaa ambazo kwa mujibu wa wataalam hutangulia fasihi au kazi yeyote ya riwaya. Katika makala hii yenye burudani si haba, Grace Kaneiya amezungumza na Ken Walibora ambaye ni mwandishi wa riwaya na mashairi kutoka nchini Kenya. Bwana Walibora ambaye anasema kwamba uandishi sio kitu ambacho aliwahi kufundishwa na mtu bali ni kipaji, anatoa ushauri kwa wale walio na ndoto ya kuwa waandishi. Lakini kwanza kabisa anaanza kwa kughani moja ya mashairi yake.

 

Soundcloud
Audio Credit
Siraj Kalyango/ Grace Kaneiya/ Ken Walibora
Audio Duration
4'
Photo Credit
Ken Walibora, mshairi na mwandishi wa vitabu mashuhuri kutoka Kenya. (Picha:Kwa hisani ya Ken Walibora)