Maisha ya kambini ni magumu ila tunapambana : Johari Nanangu
Pakua
Migogoro ya kivita katika nchi za maziwa makuu, zina aathiri maisha ya mamilioni ya raia wasio na hatia, ambapo wengi wao ni wanawanke na watoto.
Nchini Burundi mwandishi wetu wa maziwa makuu, Ramadhani kibuga alitembelea kambi wa wakimizi ya kavumu, ambako amezungumza na mwanamke jasiri ambaye, licha ya matatizo ya kila siku ya kambini bado anafanya shughuli za ujasiriamali ili kujikwamua kimaisha.
Biashara gani anafanya na je anafaidika vip? Ungana na Kibuga katika makala hii upate undani zaidi.
Audio Duration
3'50"