Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Harakati za ulinzi wa misitu ya akiba Uganda

Harakati za ulinzi wa misitu ya akiba Uganda

Pakua

Uharibifu wa misitu nchini Uganda katika wilaya ya Hoima umekuwa tatizo kubwa, huku ikihofiwa athari za uharibifu huo zitaenea, ikizingatiwa kuwa uharibifu kama huo unaendelea sio tu nchini Uganda bali pia kote ulimwenguni.

Lakini hatua za kunusuru misitu sasa zinachukuliwa, mathalani kuanzishwa kwa harakati mbalimbali za kutunza misitu.

Basi ungana na John Kibego katika makala kuhusu watu wanaofurushwa kutoka misitu ya akiba nchini.

Photo Credit
John Kibego