Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNICEF na washirika wajenga matumaini kwa watoto Kenya

UNICEF na washirika wajenga matumaini kwa watoto Kenya

Pakua

Katika kusaidia kukuza haki na ustawi wa watoto, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF kwa kushirikiana na wadau linajenga upya saikolojia za watoto waliofiwa na wazazi wao kutokana na ugonjwa wa Ukimwi nchini Kenya.

Mradi huu wa kuwapa matumaini watoto hawa unashuhudiwa kuwa na mafanikio makubwa kwani watoto wanaeleza namna walivyofaniiw akupambana na chngamoto mathalani upweke. Ungana na Joseph Msami katika Makala ifuatayo.

Photo Credit