Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakimbizi Iraq wahangaika kujiandaa kwa majira ya baridi kali

Wakimbizi Iraq wahangaika kujiandaa kwa majira ya baridi kali

Pakua

Juhudi zinaendelea sasa nchini Syria, Iraq na nchi jirani, kuwaandaa wakimbizi wa kigeni na wa ndani kwa msimu wa baridi.

Lakini watu milioni moja waliolazimika kuhama makwao Syria na Iraq, na kwingineko katika ukanda hawataweza kupata usaidizi kwa sababu ya upungufu wa dola milioni 58.4 za ufadhili kwa ajili ya mipango ya majira ya baridi.

Ungana na Joshua Mmali katika Makala hii, inayomulika hali wanayokabiliana nayo baadhi ya wakimbizi hao.

Photo Credit
Msimu wa baridi nchini Iraq. (Picha ya UNIFEED/video capture)