Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kongamano la IAEA labainisha umuhimu wa sayansi ya nyuklia katika usalama na ubora wa chakula

Kongamano la IAEA labainisha umuhimu wa sayansi ya nyuklia katika usalama na ubora wa chakula

Pakua

Kongamano la kimataifa kuhusu usalama na ubora wa chakula linaendelea kwenye makao makuu ya Shirika la Kimataifa la Nguvu za Atomiki, IAEA, mjini Vienna, Austria.

Katika kongamano hilo linalohitimishwa kesho Alhamis, wanasayansi na wataalam wanajadili kuhusu usalama wa chakula katika usindikaji, na pia udhibiti wa ubora wa chakula. Mwenzetu Joshua Mmali amezungumza na mmoja wa washiriki, Bi Charys Ugullum Nuhu, ambaye ni afisa kutoka Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Tanzania, na kumuuliza kwanza umuhimu wa kongamano hilo

(Mahojiano na Bi nuhu)

Photo Credit
A. Pitois/iAEA)