UNHCR kuimarisha ustawi wa wakimbizi nchini Uganda
Pakua
Wakati nchi ya Uganda ikiwa ni miongoni mwa nchi ambazo zinaubeba mzigo wa kuhifadhi wakimbizi barani Afrika Naibu Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) amefanya ziara nchini humo ili kutathmini hali halisi ya wakimbizi kambini na kubaini mbinu za kuimarisha vipato vyao kupitia miradi mbali mbali . Basi ungana na John Kibego wa Radio washirika ya Spice fm nchini humo.