Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mradi wa Benki ya Dunia waleta nuru kwa familia Tanzania

Mradi wa Benki ya Dunia waleta nuru kwa familia Tanzania

Pakua

Katika juhudi za kuimarisha maisha ya wakazi wa mkoani Mara nchini Tanzania benki ya dunia imefanya mradi wa kutoa mafunzo kwa ajili ya kuimarisha kilimo hususan ufugaji.

Kando na faida za kupata maziwa,  pia kuna faida ambazo zimetokana na ufugaji wa mg’ombe kwani wakaazi wanatumia samadi kwa ajili ya kuzalisha umeme.

Basi ungana na Assumpta Massoi katika makala ifuatayo.

Photo Credit
Jiko la mkaa