Shirika la Kuhudumia watoto katika Umoja wa Mataifa, UNICEF pamoja na Shirika la Afya duniani WHO linaendesha kampeni ya kutoa chanjo tangu kugunduliwa kwa visa vya polio mjini Mogadishu nchini Somalia Ungana na Assumpta Massoi katika ripoti ifuatayo.