Burundi yajiandaa kwa uchaguzi mkuu, Ban atoa ujumbe
Nchini Burundi, harakati za kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 zimeanza na tayari ofisi ya Umoja wa Mataifa nchini Burundi, BNUB imeitisha kikao cha wanasiasa nchini humo kinachonuwia kumaliza uhasama na kuandaa vema uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2015.