Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

Picha-IFAD

Manufaa ya ujumuishaji wa kidijitali na kifedha unapohusishwa na utumaji pesa kutoka nchi moja kwenda nyingine

Leo ni Siku ya Kimataifa ya Utumaji fedha kwa familia ambapo maadhimisho ya mwaka huu yanaangazia manufaa ambayo ujumuishaji wa kidijitali na kifedha unapohusishwa na utumaji pesa kutoka nchi moja kwenda nyingine, huzisaidia familia zinazopokea fedha kufikia Malengo yao ya Maendeleo Endelevu

Sauti
2'23"
Picha: FAO/Albert González Farran

Jamii ya Wavuvi Sudan Kusini wawezeshwa na FAO kutengeneza mnyororo wa thamani

Mkuu wa Mpango wa umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Sudan Kusini UNMISS ambaye pia ni mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini humo Nicholas Haysom amefanya ziara maalum ya kutembelea visiwa vilivyopo katika kaunti ya Terekeka na kujionea utekelezaji wa miradi ya stadi za maish

Sauti
3'3"