Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

25 MEI 2023

Jaridani leo tunakuletea mada kwa kina na katika kuelekea siku ya walinda Amani duniani itakayoadhimishwa Mei 29 leo tunakupeleka Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR kumulika jinsi mchango wa kusongesha maendeleo wa kikosi cha walindamani kutoka Tanzania TANBAT6 unavyopokelewa na wananchi wa taifa hilo

Sauti
11'45"