23 Januari 2023
Hii leo jarida linaangazia afya likikuletewa ripoti kuhusu ugonjwa wa moyo na WHO na, na pia tuanakupeleka nchini Madagascar kuangazia miradi mbalimbali. Makala na mashinani tunakwenda nchini Rwanda, kulikoni?
Hii leo jarida linaangazia afya likikuletewa ripoti kuhusu ugonjwa wa moyo na WHO na, na pia tuanakupeleka nchini Madagascar kuangazia miradi mbalimbali. Makala na mashinani tunakwenda nchini Rwanda, kulikoni?
Ripoti mpya ya Shirika la Umoja wa Mataifa la la Afya Duniani (WHO) iliyotolewa leo Jumatatu Januari 23, 2023 imebainisha kuwa watu bilioni tano duniani hawajalindwa dhidi ya viambato hatari vya mafuta vilivyoko katika bidhaa za vyakula vinazozalishwa viwandani na hivyo kuongeza hatari ya kupata
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani, WHO linasema idadi ya milipuko ya magonjwa iliyoripotiwa na pia dharura za kiafya zinazohusiana na tabianchi katika Ukanda wa Pembe ya Afrika zimefikia kiwango cha juu zaidi kuwahi kutokea karne hii, na hivyo kuzidisha janga la kiafya katika eneo
Hii leo jarida linaangazia mapigano Soledar Mashariki mwa Donetsk Oblast nchini Ukraine, na habari kuhusu afya kanda ya ulaya. Makala tunakwenda nchini Somalia na mashinani DR Congo.
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu masuala ya kibinadamu na misaada ya dharura OCHA limesema kwa mara ya kwanza misaada ya mashirika ya Umoja wa Mataifa imefanikiwa kuwasili katika eno linalodhibitiwa na serikali karibu na Soledar Mashariki mwa Donetsk Oblast nchini Ukraine.
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni WHO kanda ya ulaya tangu kuanza kwa msimu wa baridi kali katikati ya mwezi Novemba mwaka 2022 wamebaini kuongezeka kwa wagonjwa wanaolazwa kutokana na magonjwa ya homa ya mafua makali au flu, matatizo ya kupumua na COVID-19.
Leo katika kujifunza lugha ya Kiswahili tunakupeleka Baraza la Kiswahili la Taifa, Zanzibar, BAKIZA kwake Katibu Mtendaji Dkt. Mwanahija Ali Juma akifafanua methali “ACHEKAYE KOVU HAJAONA JERAHA.”
Hii leo jaridani tuna habari kwa ufupi, mada kwa kina na jifunze lugha ya kiswahili.
Katika Habari kwa Ufupi na Leah Mushi:
Umoja wa Mataifa unasema robo tatu ya migogoro mikuu ya ulimwengu ina uhusiano na masuala ya kitamaduni na kwa hivyo kuziba pengo kati ya tamaduni ni jambo la haraka na la lazima kwa ajili ya amani, utulivu na maendeleo.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema dunia haiwezi kutatua changamoto kubwa inazokabiliwa nazo hivi sasa kuanzia mabadiliko ya tabianchi, vita ya Ukraine, mdororo wa uchumi na athari zinazoendelea za janga la COVID-19 katikia hali ya sasa ya mgawanyiko na kutokuwa na mshikaman