07 SEPTEMBA 2022
Katika jarida la Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea
-Katibu Mkuu UN atoa wito kwa ushirikiano wa kimataifa kukabiliana na uchafuzi wa hali ya hewa katika siku ya kimataifa ya hewa safi kwa ajili ya anga ya bluu
06 SEPTEMBA 2022
Katika Jarida la mada kwa kina hii leo Flora Nducha anakuletea
Najivunia ufadhili wa MONUSCO umeniwezesha kuwasaidia wenzangu:Jafari DRC
Kutana na Alex Safari kutoka Goma mji mkuu wa jimbo la Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, mtaalamu huyu wa kutengeneza simu DRC ambaye kwa msaada wa mpango wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo MONUSCO aliweza kupatia mafunzo au formation
02 Septemba 2022
Ungana na Flora Nducha anayekuletea jarida kutoka kila kona ya dunia na kuanzia huko Pakistan
01 SEPTEMBA 2022
Katika Jarida la mada kwa kina hii leo Flora Nducha anakuletea