Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

© UNICEF/UN0639245/Sewunet

Natamani nirudi shuleni kwani tulijifunza kuimba a, b, c, d - Mtoto Zufan nchini Ethiopia

Pembe ya Afrika hali ya ukame inazidi kutishia uwezekano wa baa la njaa kwenye eneo hilo linalojumusha Kenya, Somalia na Ethiopia huku Umoja wa Mataifa ukisema takribani watu milioni 18.4 huamka kila siku bila uhakika wa mlo huku idadi hiyo ikitarajiwa kufikia milioni 20 mwezi ujao wa Septemba.

Sauti
2'24"