3 Juni 2022
Jaridani Juni 3, 2022 na Leah Mushi
-Siku 100 za uvamizi wa Urusi kwa Ukraine, ustawi wa watu umeathirika sana
-Nchi zatakiwa kuimarisha huduma za afya ya akili wakati zikikabiliana na mabadiliko ya tabianchi
Jaridani Juni 3, 2022 na Leah Mushi
-Siku 100 za uvamizi wa Urusi kwa Ukraine, ustawi wa watu umeathirika sana
-Nchi zatakiwa kuimarisha huduma za afya ya akili wakati zikikabiliana na mabadiliko ya tabianchi
Leo katika kujifunza Kiswahili mtaalam wetu Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania , anatufafanulia maana ya neno "KIZINGILE"
Jaridani Juni 2,2022 na Leah Mushi
Nchini Tanzania Jumla ya Kaya 13,600 na vijana 2,700 wanatarajiwa kunufaika na tathmini ya upimaji stadi za maisha kwa kuangalia viwango vyao vya kujitambua, ushirikiano walionao kwao na kwa jamii, jinsi wanavyotatua matatizo pamoja na heshima binafsi jinsi wanavyojiheshimu wao, jamii na mali za
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF nchini Rwanda kwa kushirikiana na Bodi ya Madini nchini humo wamefanikiwa kuanzisha vituo viwili vya kulea watoto wadogo wenye umri kati ya miaka 0 mpaka 6 kwa ajili ya kusaidia wazazi wanaofanya kazi migodini waweze kuwa na uhakika wa sehemu
Ripoti mpya kuhusu maendeleo ya nishati iliyotolewa leo na Umoja wa Mataifa imesema janga la COVID-19 limezorotesha mchakato wa kuelekea upatikanaji wa nishati kwa wote, huku vita inayoendelea nchini Ukraine huenda ikaudumaza zaidi mchakato huo.
Jaridani Jumatano Juni Mosi-2022 na Leah Mushi
-COVID-19 na vita ya Ukraine vyakwamisha leo la upatikanaji wa nishati kwa wote:UN
-UNICEF Rwanda yawezesha uanzishwa wa vituo vya kulelea watoto wa wafanyakazi wa migodini.