Jukwaa la kuelimisha athari za kung'atwa na nyoka lazinduliwa
Shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni, WHO, leo limezindua jukwaa maalum mtandaoni kwa lengo la kutoa taarifa na kuelimisha umma kuhusu hatari ya kung’atwa na nyoka wenye sumu na wapi waliko nyoka hao hatari zaidi duniani.