msemo "KINGA NA KINGA NDIPO MOTO UWAKAPO" .
Katika kujifunza Kiswahili, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, la ZANZIBAR, BAKIZA, Dkt.Mwanahija Ali Juma anafafanua maana ya msemo "KINGA NA KINGA NDIPO MOTO UWAKAPO" .
Katika kujifunza Kiswahili, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, la ZANZIBAR, BAKIZA, Dkt.Mwanahija Ali Juma anafafanua maana ya msemo "KINGA NA KINGA NDIPO MOTO UWAKAPO" .
Ungana na Assumpta Massoi ambaye pamoja na mambo mengine anakuletea mada kwa kina inayomulika jinsi Tanzania itakavyotumia mkopo wa dharura kutoka shirika la fedha la kimataifa, IMF kwa ajili ya kukabiliana na athari za ugonjwa wa Corona au COVID-19.
“Ni wakati wa kupiga kengele ya dharura”, amesema Katibu Mkuu wa UN katika mahojiano maalum na Idhaa ya Umoja wa Mataifa siku chache kabla ya kuanza kwa Mjadala wa Juu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
Kilimo hai kina mchango mkubwa katika kutimiza ajenda ya maendeleo ya Umoja wa Mataifa SDG’’s hasa katika kulinda mazingira , kuhakikisha uhakika wa chakula na pia kutimiza moja ya vipengele vya lengo la afya bora. Kwa mujibu wa
Atamani kuwa daktari ili awasaidie bubu na viziwi wenzake hospitalini
Tume ya Umoja wa Mataifa ya uchunguzi kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Burundi imesema licha ya ahadi za awali za Rais Évariste Ndayishimiye za kuboresha haki za binadamu nchini mwake na kurejesha utawala wa sheria, bado hakuna hatua zozote zilizochukuliwa kutimiza ahadi hizo, huku jukwaa l
Umoja wa Mataifa umetengeneza darasa maalum katika Makao Makuu yake yaliyoko jijini New York Marekani na kuweka madawati na saa inayoonesha muda ambao wanafunzi wameshindwa kuingia darasani kutokana na janga la ugonjwa wa Corona, COVID-19. Leah Mushi ana taarifa Zaidi.
Katika jarida hii leo utasikia Umoja wa Mataifa umetengeneza darasa maalum katika Makao Makuu yake yaliyoko jijini New York Marekani na kuweka madawati na saa inayoonesha muda ambao wanafunzi wameshindwa kuingia darasani kutokana na janga la ugonjwa wa Corona, COVID-19.
Ndege za shirika la Anga la Umoja wa Mataifa zinazosimamiwa na shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani WFP zimeanza tena safari zake za kupeleka msaada Kabul nchini Afghanistan na kuwawezesha wafanyakazi wa kibinadamu kuwafikia wananchi wenye uhitaji.
Nchini Senegal, mradi wa pamoja wa mfuko wa Umoja wa Mataifa wa maendeleo ya kilimo duniani, IFAD na serikali ya taifa hilo la Afrika Magharibi umesaidia kurejeshwa upya kwa maelfu ya hekta za mikoko baharini na hivyo kusaidia jamii za wavuvi kuinua kipato chao na wakati huo huo kuwa na mne