Fahamu maeneo 7 yanayoathirika zaidi na saratani sababu ya pombe
Habari mpya kuhusu ugonjwa wa saratani inasema kwamba pombe imebainika kuwa kisababishi cha wagonjwa wapya 740,000 wa saratani au kansa kwa mwaka jana wa 2020.
Habari mpya kuhusu ugonjwa wa saratani inasema kwamba pombe imebainika kuwa kisababishi cha wagonjwa wapya 740,000 wa saratani au kansa kwa mwaka jana wa 2020.
Shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni WHO kwa kushirikiana na shirika la PANAACEA wanatoa mafunzo nchini Argentina ya kuwezesha watoto wenye usonji kukabiliana na changamoto za ulemavu zinazowakabili ikiwemo kuchelewa kuzungumza.
Moja ya masuala yaliyojadiliwa kandoni mwa Mkutano wa ngazi ya juu ya siasa kuhusu maendeleo endelevu unaoendelea katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York Marekani, ni pamoja na namna waafrika wengi wanavyopambana na njia za zamani za nishati na hivyo kutafuta njia mbadala kama vile
Shirika la Umoja wa Matiafa la afya ulimwenguni WHO limeonya juu ya kile kinachoonekana kuwa baadhi ya watu wanataka kuanza kuchanganya chanjo za ugonjwa wa Corona au COVID-19 na kueleza tabia hiyo inaweza kuwa na madhara kwa watu hao na pia kwa nchi zao.
Uganda nchi inayoongoza kuhifadhi wakimbizi wengi zaidi barani Afrika, imeshuhudia kuongezeka kwa mahusiano mema baina ya wakimbizi na wananchi waliowakaribisha baada ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa chakula WFP, kuanza kutoa msaada wa kifedha kwa wakimbizi hali inayowawezesha wakimbiz
Kufunguliwa kwa shule na vyuo vya elimu baada ya kufungwa mwaka jana kutokana na janga la ugonjwa wa Corona au COVID-19 kumeacha baadhi ya wanafunzi katika njiapanda kwa sababu kile walichopoteza wakati shule zimefungwa , bado hakuna jitihada za kutosha kuhakikisha wanakipata ili kuepusha kukosa
Hii leo utasikia ripoti ya mashirika ya Umoja wa Mataifa inayoeleza kufunguliwa kwa shule na vyuo vya elimu baada ya kufungwa mwaka jana kutokana na janga la ugonjwa wa Corona au COVID-19 kumeacha baadhi ya wanafunzi katika njiapanda kwa sababu kile walichopoteza wakati shule zimefungwa , ba
Jaridani hii leo na Assumpta Massoi tutasikia habari kwa ufupi lakini pia tutasikia kuhusu hatua zilizopigwa katika kutimiza malengo ya maendeleo endelevu ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania hususan lengo namba tatu la upatikanji ya huduma ya afya kwa wote.
Leo katika kujifunza Kiswahili tunaingia Zanzibar nchini Tanzania kwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili visiwani humo, BAKIZA Dkt. Mwanahija Ali Juma akifafanua maana ya methali Kila Mtoto na Koja Lake!
Katika Jarida hii leo utasikia kuhusu muongo mmoja tangu Sudan kusini ipate uhuru wake, Upigaji kura ili kuruhusu misaada ya kibinadamu iendelee kupitishwa nakupelekwa Syria pamoja na wito wa Katibu Mkuu wa UN Antonio Guterres kwa mawaziri wa Fedha na magavana wa G20 kuhusu usambazaji na uzalisha