Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

WFP/Marwa Awad

Nchini Vurkina Faso, UNHCR yafanikisha kuwapa hifadhi tena wakimbizi wa Mali waliofurushwa katika kambi.

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR baada ya kuweka mazingira mazuri ya kurejea kwa wakimbizi wa Mali waliokuwa wamevikimbia vitisho na mashambulizi katika kambi mbili za nchini Burkina Faso, shirika hilo hivi karibuni liliratibu kuhamishwa kwa wakimbizi wapatao 1,211 kutoka

Sauti
1'47"