Lugha yamkosesha kazi kijana mkimbizi wa DRC nchini Uganda
Vijana wakimbizi hukumbwa na changamoto nyingi ukimbizini hususan kipato kutokana na kutokuwa na ajira ambapo mara nyingine badhi yao wamejikuta katika mikono isiyo salma katika jamii za wenyeji na hata zile za wakimbizi wenzao.