Brazil yapanda miti kujifuta machozi kwa kupoteza wapendwa wao kwa COVID-19
Nchini Brazil, baada ya ugonjwa wa Corona au COVID-19 kusababisha vifo vya watu zaidi ya 200,000 na hali ya kutoweka kwa misitu ikishika kasi, familia, ndugu na jamaa zimeibuka na mpango wa kupanda miti 200,000 kama njia ya kukumbuka wapendwa wao. Assumpta Massoi na maelezo zaidi.