Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

23 JULAI 2020

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameuambia ulimwengu wa nchi za Kiarabu kwamba sasa ni wakati wa kugeuza janga la virusi vya Corona au COVID-19 kuwa fursa ya kujijenga upya na kwa ubora zaidi. Watoto zaidi ya 32 wamepoteza au kutenganishwa na mzazi mmoja au wote kutokana na E

Sauti
12'51"