Hatma ya watoto milioni 370 iko njia panda kisa? COVID 19:UNICEF/WFP
Mustakbali wa watoto milioni 370 uko njiapanda kwa sababu ya janga la virusi vya corona au COVID-19 lililosababisha kufungwa kwa shule zilizokuwa mkombozi wa lishe yao imesema taarifa ya mashirika ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa leo.