Muhammad-Bande asema elimu ni vigumu kufikia malengo hayo mengine
Leo Januari 24 ni siku ya elimu duniani ambapo Umoja wa Mataifa umeungana na dunia kuadhimisha siku hii muhimu.
Leo Januari 24 ni siku ya elimu duniani ambapo Umoja wa Mataifa umeungana na dunia kuadhimisha siku hii muhimu.
Ni Ijumaa ya Januari 24 mwaka 2020 kama kawaida leo ni mada kwa kina ambapo leo ikiwa ni siku ya kimataifa ya elimu, tutaangazia harakati za uboreshaji wa elimu duniani kote na zaidi tutajikita nchini Tanzania kutathimini hatua zilizofikiwa tangu kutangazwa kwa elimu bila m
Ujumuishaji wa vijana katika ngazi za maamuzi na za kimaendeleo ni suala ambalo linasisitizwa kila uchao. Lakini maandalizi ya vijana hao katika nafasi mablimbali yanafanyika shuleni na pia kwenye vyuo vikuu.
Serikali ya shirikisho ya Somalia na washirika wa kimataifa wamezindua mpango unaohitaji zaidi ya dola bilioni moja ili kuweza kutoa msaada wa kibidamu unaohitajika nchini humo. Flora Nducha na taarifa zaidi
Hatimaye mpango wa kujumuisha vikosi vya upinzani kwenye jeshi la Sudan Kusini umeanza kutekelezwa ikiwa ni katika kutekeleza makubaliano mapya ya amani yaliyotiwa saini mwezi Septemba mwaka 2018.
Serikali ya Myanmar leo imeamriwa na mahakama ya haki ya Umoja wa Mataifa ICJ, kuzuia machafuko yanayoweza kusababisha mauaji ya kimbari kwa watu wa kabila la Rohingya ambao ni Waislam wachache na kulinda ushahidi wowote wa uhalifu wa siku za nyuma dhidi ya watu hao.
ICJ yaitaka Myanmar kuwalinda Warohingya dhidi ya mauaji ya kimbari. Vikosi vya upinzani Sudan Kusini vyaanza kujumuishwa kwenye jeshi la kitaifa. Dola bilioni 1 zahitajika kusaidia watu milioni 3 mwaka 2020 Somalia.
Katika zama hizo ambazo ulimwengu unakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa ajira kwa watu wengi, zipo sababu nyingi zinazochangia uwezekano wa kijana kupata fursa ya ufadhili wa elimu au kuajiriwa ili kuepuka changamoto za kutokuwa na ujuzi unaoendana na soko la ajira.
Homa ya vichomi na utapiamlo vimeelezwa kuwa ni moja ya changamoto kubwa kwa afya ya watoto nchini Yemen mbali ya changamoto zingine zinazosababishwa na vita vinavyoendelea, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF.
Katika mkoa wa Kigoma nchini Tanzania ambako Umoja wa Mataifa unatekeleza mpango wa pamoja kwa ajili ya mkoa huo, (Kigoma Joint Programme) kupitia mashirika yake ikiwemo lile la chakula na k