Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

UNICEF/Siegfried Modola

UNICEF yasema vifo milioni 9 kutokana na homa ya kichomi vinaweza kuzuilika kwa kuimarisha juhudi

Vifo milioni 9 vinaweza kuzuilika kwa kuimarisha juhudi za kukabiliana na homa ya kichomi miongoni mwa watoto, na magonjwa mengine kwa mujibu wa  ripoti ya utafiti iliotolewa leo wakati wa kuanza kwa kongamano la kwanza kuhusu homa ya kichomi miongoni mwa watoto mjini Barcelona nch

Sauti
3'5"