Napenda kufanya kazi na jamii ndio sababu najihusisha na kupigania usawa wa kijinsia- Thobias Komba
Msukumo wa kufanya kazi na jamii moja kwa moja umepelekea kijana Thobias Komba kutoka Tanzania kujihusisha na harakati za kuhakikisha usawa wa kijinsia kupitia shirikia lisilo la kiserikali la Restless Development nchini humo.