Makazi mapya ya raia yajengwa Birao kwa ushirikiano wa MINUSCAR na raia
Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, ushirikiano kati ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuweka utulivu nchini humo, MINUSCA pamoja na raia waliofurushwa makwao kufuatia mapigano ya mwezi Septemba kwenye eneo la Birao nchini humo uwemewezesha wakimbizi hao sasa kupata makazi ya muda yaliyo