Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

Picha: OCHA Burundi / Ana Maria Pereira

Umoja wa Mataifa wataka kujengwa miundumbinu ya kudumu ili kuokoa maisha na kupunguza watu kuhama

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya kupunguza athari za majanga, Mami Mazutori, hii leo ametoa wito wa kuwepo malengo makubwa katika sekta ya ujenzi kuhakikisha kuwa miundombinu muhimu itastahimili athari za majanga ya mazingira ambayo yamesababisha watu milioni

Sauti
1'51"