Wanawake wahudumu wa kibinadamu wako mstari wa mbele kutoa huduma-Guterres
Leo ni siku ya huduma za kibinadamu duniani ambapo Umoja wa Mataifa unapigia chepuo mwaka huu wanawake waliojikita katika kutoa huduma za kibinadamu kote ulimwenguni.
Leo ni siku ya huduma za kibinadamu duniani ambapo Umoja wa Mataifa unapigia chepuo mwaka huu wanawake waliojikita katika kutoa huduma za kibinadamu kote ulimwenguni.
Hii leo ni siku ya huduma za kibinadamu duniani na Grace Kaneiya anakuletea ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, maudhui ya siku yakiwa ni wanawake wanaotoa huduma za kibinadamu.
Leo katika Neno la Wiki tunakwenda kwa mtaalam wetu wa kiswahili juma hili ambaye ni Mwanahija Ali Juma katibu mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar , BAKIZA anafafanua matumizi ya neno “WAME” katika sentensi yenye nomino mbili.
Dianah Kamande ni mama wa watoto wawili nchini Kenya ambaye katika mazingira ya kushangaza, siku moja mume wake alirejea nyumbani akiwa na nia moja tu, kumuua mkewe, wanaye wawili na kisha yeye mwenyewe ajiue.
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limesema miaka miwili ya harakati za kila uchao za kujikwamua kimaisha kwa warohingya waliosaka hifadhi nchini Bangladesh zimetumbukiza nyongo mustakabali wa elimu kwa kizazi kizima
Maandalizi na kampeni ya chanjo dhidi ya Ebola kwa mataifa jirani na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC ambako ugonjwa huo bado unaendelea ni muhimu limesema shirika la afya duniani WHO.
Hii leo katika makala tunaendelea na sehemu ya pili ya mahojiano kati ya Stellla Vuzo wa kituo cha habari za Umoja wa Mataifa, UNIC jijini Dar es Salaam nchini Tanzania na Audast Muhinda, afisa kitengo cha elimu katika shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF am
Hali ya kuwa mkimbizi kwa sababu yoyote ile ni changamoto kubwa hasa kwa kutojua mustakabali wako na endapo ulikoikimbia kutatengamaa.
Kwa muda mrefu kuna baadhi ya kazi ambazo kwa kawaida zilizoeleka kuwa ni kazi za jinsia moja na wala sio nyingine lakini Christina Wambulu mwanamke mwenye umri wa miaka 40 kutoka nchini Kenya amekata kauli kwamba kitu muhimu katika utekelezaji wa kazi yoyote ni stadi na maar
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limesema linasikitishwa kwamba kwa mara nyingine siasa zimepewa kipaumbele badala ya kuokoa maisha ya watoto ambao wamekwama kwenye bahari ya Mediterranea.