Ajira si lazima uipate ofisini unaweza kujiajiri :Mpishi Smart
Changamoto za ajira kwa vijana ni kilio cha kila kona duniani.
Changamoto za ajira kwa vijana ni kilio cha kila kona duniani.
Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuweka utulivu, MINUSCA unajenga daraja ambalo litasaidia siyo tu usafiri bali pia kuleta amani kwenye eneo la kaskazini mwa nchi hiyo.
Viongozi wakuu wa shirika la afya ulimwenguni, WHO wamekamilisha ziara yao ya siku mbili kwenye mji wa Butembo, mji ulioathirika zaidi na ugonjwa wa Ebola kwenye jimbo la Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC.
Leo ni siku ya wafanyakazi duniani, au Mei mosi ambapo mataifa ikiwemo yale ya barani Afrika yameadhimisha siku hiyo huku shirika la kazi ulimwenguni ukanda wa Afrika Mashariki likitoa wito kufanya kazi kwa pamoja kwa ajili ya kuchagiza usawa, haki kwa jamii na kuimarisha mazi