Kituo cha UN Women ni matumaini kwa wanawake wanaokimbia ukatili wa kijinsia Ethiopia
Ukatili dhidi ya wanawake ni changamoto kubwa nchini Ethiopia na ili kuwanusuru wanawake na wasichana ambao maisha yao yameathirika na ukatili wa kingono, Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na maswala ya wanawake, UN Women kwa ushirikiano na serikali ya Denmark wameanzisha kituo s