Uonevu dhidi ya watoto mtandaoni lazima ukome:UNICEF
Uonevu na ukatili dhidi ya watoto mtandaoni umefurutu ada ni ni lazima ukome limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF katika kuadhimisha siku ya usalama kwenye mtandao wa intaneti.